Interscope Geffen A&M Records
Mandhari
(Elekezwa kutoka Interscope Geffen A&M)
Interscope Geffen A&M Records (IGA), ni mwavuli wa studio ya muziki ya Kimarekani inayomilikiwa na Universal Music Group na inajumuisha studio za kurekodi muziki za Interscope Records, Geffen Records, na A&M Records.