Ijevan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mji wa Ijevan

Ijevan (Kiarmenia: Իջևան; pia kwa jina la Kirumi huitwa Idzhevan na Idjevan; zamaini Istibulagh, K’arvansara, Karavan Savan, K’aravansaray, Karavansarai, na K’ervansera) ni jiji na mji mkuu wa mkoa wa Tavush huko nchini Armenia. Ipo upande wa kaskazini mwa mkoa. Idadi ya wakazi wa mjini hapa ilikuwa kiasi cha 15 620 mnamo mwaka wa 2008[1] na kuufanya uwe mji wenye watu wengi sana kwa kanda yake. Takriban kilomita 142  kutoka mji mkuu wa Yerevan.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. World Gazetteer, Ijevan, profil de l'entité géographique. Iliwekwa mnamo 2008-06-06. (Kifaransa)
Flag map of Armenia.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Armenia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ijevan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.