Igor Kirillov
Mandhari
Igor Anatolyevich Kirillov (13 Julai 1970 – 17 Desemba 2024) alikuwa jenerali msaidizi wa Urusi. Alikuwa Mkuu wa kikosi cha ulinzi wa NBC (Nuclear, Biological, Chemical) cha Jeshi la Urusi. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Кириллов Игорь. "Военная академия РХБЗ — главный учебно-методический центр войсковой радиационной, химической и биологической защиты — Игорь Кириллов — Военный совет — Эхо Москвы, 11.03.2017" [The Military Academy of the RCBZ is the main educational and methodological center for military radiation, chemical and biological defense - Igor Kirillov - Military Council - Echo Moscow, 03/11/2017]. Эхо Москвы (Echo Moscow) (kwa Kirusi). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-09-03. Iliwekwa mnamo 2021-09-03.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Igor Kirillov kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |