Nenda kwa yaliyomo

Ibrexafungerp

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jina la Utaratibu la (IUPAC)
(1R,5S,6R,7R,10R,11R,14R,15S,20R,21R)-21-[(2R)-2-amino-2,3,3-trimethylbutoxy]-5,7,10,15-tetramethyl-7-[(2R)-3-methylbutan-2-yl]-20-(5-pyridin-4-yl-1,2,4-triazol-1-yl)-17-oxapentacyclo[13.3.3.01,14.02,11.05,10]henicos-2-ene-6-carboxylic acid
Data ya kikliniki
Majina ya kibiashara Brexafemme
AHFS/Drugs.com Kigezo:Drugs.com
Taarifa za leseni US Daily Med:link
Kategoria ya ujauzito Haipendekezwi[1]
Hali ya kisheria ? (US)
Njia mbalimbali za matumizi Kwa njia ya mdomo, kupitia mshipa
Data ya utendakazi
Kufunga kwa protini >99%[1]
Kimetaboliki Hidroksilishaji (CYP3A4) kisha muunganiko (glukuronidishaji, sulfatishaji)[1]
Nusu uhai Masaa ishirini [1]
Vitambulisho
Nambari ya ATC ?
Visawe SCY-078
Data ya kikemikali
Fomyula C44H67N5O4 

Ibrexafungerp, inayouzwa kwa jina la chapa Brexafemme, ni dawa ya kuzuia ukungu inayotumika kutibu maambukizi ya kuvu ukeni.[1] Inaweza kutumika kwa wanawake baada ya kuanza kwa hedhi,[1] na inachukuliwa kwa mdomo.[1]

Madhara yake ya kawaida ni pamoja na kuhara, kichefuchefu, maumivu ya tumbo na kizunguzungu.[1] Matumizi yake wakati wa ujauzito yanaweza kumdhuru mtoto.[1] Hii ni dawa ya kuua fangasi ya aina ya triterpenoid, na hufanya kazi kwa kuzuia glucan synthase, ambayo huzuia uundaji wa ukuta wa seli ya ukungu.[1]

Ibrexafungerp iliidhinishwa kwa ajili ya matumizi ya kimatibabu nchini Marekani mwaka wa 2021.[1] Dawa hii haikuwa imeidhinishwa barani Ulaya au Uingereza kufikia mwaka wa 2022.[2] Nchini Marekani, kozi ya kimatibabu iligharimu takriban dola 500 kufikia mwaka wa 2022.[3]

  1. 1.00 1.01 1.02 1.03 1.04 1.05 1.06 1.07 1.08 1.09 1.10 "Brexafemme- ibrexafungerp tablet, film coated". DailyMed. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 Septemba 2021. Iliwekwa mnamo 12 Septemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; name "PI2022" defined multiple times with different content
  2. "Ibrexafungerp". SPS - Specialist Pharmacy Service. 2 Agosti 2018. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 8 Desemba 2021. Iliwekwa mnamo 29 Oktoba 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Ibrexafungerp". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 29 Oktoba 2022. Iliwekwa mnamo 29 Oktoba 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)