Ian Donald

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ian Donald CBE FRFPSGlas FRCOG FRCP (Liskeard, 27 Desemba 1910 - 19 Juni 1987) alikuwa daktari wa Uingereza na alikuwa mashuhuri sana kwa kuanzisha kipimo cha Ultrasound katika njia za uzazi.

Donald alikuwa Profesa wa Regius wa Mimba na Uzazi katika Chuo Kikuu cha Glasgow.

Kazi ya Donald ilikuwa na safu ya ushirikiano wa ajabu kati ya wauguzi na wahandisi ambao walielekeza nguvu nyingi katika kujenga vyombo vya kuwezesha uchunguzi wa mtoto ambaye hajazaliwa ambayo mwishowe ilimwezesha kujenga mashine ya ultrasound ya kwanza ulimwenguni.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ian Donald kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.