Nenda kwa yaliyomo

IIndman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
IIndman

Phenyo Kgaffe (alizaliwa terehe 25 Novemba mwaka 1992)anajulikana vyema kwa jina la IIndman ni mtayarishaji wa nyimbo kutoka nchini Afrika kusini. Anafanya kazi kwenye Kampuni ya vyombo vya habari inyojulikana kwa jina la MARS, na kazi zake kuhaririwa na kampuni ya Earth Sun Moon.[1][2]

Maisha na Kazi

[hariri | hariri chanzo]

Kgaffe anatoka mji mdogo huko Afrika kusini unaojulikana kama Mahikeng. Mwanzoni mwa mwaka 2007 alianza kuupeleka muziki wake kwenye studio za DAW – FL kurekodi. Mnamo mwaka 2009 alianza kufanya kazi na Mo'Molemi katika album yake ya "Rebel Without a Pause" ambapo alitoa muziki wake uitwao Lefika-Town akimshirikisha Spikey wa kutoka katika lebo ya Lyv katika umri wa miaka 16.

  1. Joseph Nkosi (2023-01-25). "IIndman Biography: Age, Label, Visual, Net Worth, Musics - The Nation" (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-02-26. Iliwekwa mnamo 2023-02-26.
  2. "Kaffein online magazine issue 6 ambiton by Lethabo Ngakane - Issuu". issuu.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-02-26.