Nenda kwa yaliyomo

Houwhoek Pass

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Houwhoek Pass ni njia kwenye barabara ya kitaifa N2 katikati ya Grabouw na Botrivier kwenye mkoa wa rasi ya magharibi (Western Cape province), Afrika Kusini. Njia yenyewe inaruhusu magari ya kwenda na kurudi na ipo mita 340 juu ya usawa wa bahari .

Barabara ya tawi la Overberg pamoja na nja ya zamani ya Houwhoek ziko karibu, na zinamuelekeo sambamba lakini pia zikiwa karibu na Mto wa Jakkals.Hoteli na shamba la Houw yapo karibu na makutano ya njia

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Houwhoek Pass kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.