Hoteli ya Arusha
Mandhari
Hoteli ya Arusha (Pia inajulikana kama Four point by Sheratoni,New Arusha Hotel) ni hoteli kongwe zaidi iliyopo katika jiji la Arusha kwenye kaskazini mwa Tanzania . Hapo awali, ilijulikana kama New Arusha Hotel. Ilijengwa mnamo 1894 wakati wa ukoloni wa Kijerumani.