Holmsund

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Makala hii kuhusu "Holmsund" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.
Kanisa la Holmsund

Holmsund ni mji katika manispaa ya Umeå, mkoani Västerbotten, nchini Uswidi. Holmsund iko kandokando ya mto wa Ume upande wa Kusini wa mji wa Umeå, tena inatumika kama bandari ya Umeå. Katika sensa ya 2010, wakazi wa Holmsund wamehesabiwa kuwa watu 5489.