Hifadhi ya asili ya Associated private
Mandhari
Hifadhi ya asili ya Associated Private ni muungano wa hifadhi za asili zinazomilikiwa kibinafsi na zinazopakana na Hifadhi ya Kitaifa ya Kruger.Kwa pamoja zinawakilisha kilomita za mraba 1,800 (ha 180,000) ya ardhi iliyowekwa kwa uhifadhi. Mnamo Juni 1993 ua kati ya Hifadhi ya Kitaifa ya Kruger na APNR ziliondolewa.[1]