Hifadhi ya Taifa ya Nimule

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hifadhi ya Taifa ya Nimule ni mbuga ya taifa nchini Sudan Kusini. Ilianzishwa mnamo 1954, na inaenea zaidi ya eneo la kilomita za mraba 410, kando ya mpaka na Uganda. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Guides, Bradt. "Nimule National Park". Bradt Guides (kwa en-GB). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-01-08. Iliwekwa mnamo 2021-01-06. 
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Nimule kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.