Hifadhi ya Taifa ya Iriqui
Mandhari
Hifadhi ya Taifa ya Iriqui ilianzishwa mwaka 1994 kama mbuga ya kitaifa huko Morocco inaukubwa wa hekta 123,000.
Mahali
[hariri | hariri chanzo]Hifadhi ya Taifa ya Iriqui ipo kati ya Mto Draa na upande wa kusini katika majimbo ya Zara na Tata.[1]