Hifadhi ya Taifa ya Goegap

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hifadhi ya Taifa ya Goegap ni hifadhi ya nusu jangwa iliyopo kaskazini mwa Cape, Afrika kusini na linakaa katika eneo la kilometa 8 mashariki mwa Springbok.[1] Eneo hilo mwanzoni lilikua linatumika kulishia mifugo mpaka lilipotangazwa kuwa hifadhi mwaka 1966 na kuwekwa uzio 1969 na wanyama pori kuwekwa baada ya apo[2]. Mwanzoni lilikua linajulikana kama hifadhi ya Taifa ya Hester Malan.[3]


Baada ya kuongezwa kwa eneo la hifadhi hiyo, sasa lina ukubwa wa kilometa za mraba 150.[4][5] Jina la Goegap linatokana na neno la khoekhoe likimaanisha "shimo la maji".


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Goegap kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.