Hifadhi ya Taifa ya Assagny

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hifadhi ya Taifa ya Assagny, ni mbuga ya Taifa kusini mwa Ivory Coast .

Iko kwenye pwani kama km 75 (mi 47) magharibi mwa Abidjan, katikati ya mlango wa Mto Bandama na Lagoon ya Ébrié, na inachukuwa eneo la takribani hektari 17,000 . [1]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Parc national d'Azagny". United Nations Environment Programme. 1983. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-11-01. Iliwekwa mnamo 2 June 2019.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Assagny kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.