Hifadhi ya Menabe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha ya Barabara ya Mibuyu katika Hifadhi ya Menabe
Picha ya Barabara ya Mibuyu katika Hifadhi ya Menabe

Hifadhi ya Centrale de Meanabe ni eneo lililohifadhiwa linalojumuisha hasa msitu mkavu wa miti mikali katika sehemu ya magharibi ya Madagaska.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Menabe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.