Hifadhi ya Mazingira ya King William's Town

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hifadhi ya Mazingira ya King William's Town ni hifadhi ya asili huko Qonce (Mji wa King William) katika Rasi ya Mashariki . [1]

Historia[hariri | hariri chanzo]

Hifadhi hii ina hektari 108.64 ilianzishwa mwaka 1973 kwa ajili ya uhifadhi wa wanyama na mimea katika eneo hilo. [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Protected Areas Register. dffeportal.environment.gov.za. Iliwekwa mnamo 2022-05-18.
  2. King William's Town Nature Reserve.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.