Hifadhi ya Kalakpa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya hifadhi ya kalakpa
Ramani ya hifadhi ya kalakpa

Hifadhi ya Kalakpa, ni hifadhi ya msitu wa hekta 32,020 nchini Ghana . [1] [2] [3]

Mahali[hariri | hariri chanzo]

Hifadhi hiyo iko katika sehemu ya kusini mashariki mwa Nchi, takribani kilomita 120 kaskazini mashariki mwa mji mkuu wa Accra na takribani kilomita 30 kusini kutoka mji mkuu wa Mkoa wa Volta, Ho . [4] [5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "VOLTA REGION". Ghana Embassy - Japan. Iliwekwa mnamo 15 January 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Kalakpa | Protected Planet". Protected Planet. Iliwekwa mnamo 2018-09-30. 
  3. "Status Report for Ghana's Kalakpa Resource Reserve". 
  4. "VOLTA REGION". Ghana Embassy - Japan. Iliwekwa mnamo 15 January 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)
  5. "Volta Region - About Ghana". Peace FM. Iliwekwa mnamo 15 January 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)