Hifadhi ya Asili ya Abe Bailey
Mandhari
Hifadhi ya asili ya Abe Bailey ni eneo linalolindwa huko Gauteng, Afrika Kusini. Liko karibu na Carletonville, kando ya kitongoji cha Khutsong, Rand Magharibi. Ni takriban hekari 4,200 [1] Ilihifadhiwa 21 Januari 2016 kwenye Wayback Machine. kwa ukubwa [2].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|