Hicham Aboucherouane

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hicham Aboucherouane
Youth career
1997–1999Najm El Aounat
Senior career*
MiakaTimuApps(Gls)
1999–2004Raja Casablanca115(65)
2004Al-Nassr(5)
2004–2007Raja Casablanca37(22)
2005–2006Lille (loan)16(2)
2007–2008Espérance de Tunis32(10)
2008–2010Al-Ittihad Jeddah63(29)
2010–2011Raja Casablanca21(3)
2011–2012Al Ahli Doha25(8)
Timu ya Taifa ya Kandanda
2002–2009Morocco27(5)
* Senior club appearances and goals counted for the domestic league only.
† Appearances (Goals).

Hicham Aboucherouane (Kiarabu: هشام بوشروان‎; alizaliwa 2 Aprili 1981) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa Morocco ambaye alicheza kama kiungo.

Alianza kazi yake mwaka 1997 na Najm El Aounat, mwaka 1999 alihamishiwa Raja Casablanca. Alikuwa akiichezea kwa mkopo kutoka Raja Casablanca kuanzia Julai 2005 hadi Juni 2006 na klabu ya OSC Lille. Mwezi Januari 2007 alihamia kutoka Raja Casablanca kwenda Espérance de Tunis na alihamishiwa mwezi Julai 2008 kwenda Al-Ittihad.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hicham Aboucherouane kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.