Hezekiah Ndahani Chibulunje

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Hezekiah Ndahani Chibulunje (amezaliwa tar. 15 Machi 1946) ni mbunge wa jimbo la Chilonwa katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Hezekiah Ndahani Chibulunje (10 Julai 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.