Nenda kwa yaliyomo

Hellen Murshali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hellen Murshali ni mwanasiasa kutoka Sudan Kusini. Mnamo mwaka wa 2011, alikuwa Waziri wa Ustawi wa Jamii wa Central Equatoria. Mnamo mwaka wa 2017, Hellen Murshali Boro alikua Mkurugenzi Mtendaji wa Confident Children out of Conflict, akisaidia watoto yatima na watoto waliotelekezwa nchini Sudan Kusini.[1]

  1. "My life with orphans, neglected children". The City Review South Sudan (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2024-09-28.