Havok

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Havok (Uangamizi)
Maelezo ya chapisho
MchapishajiMarvel Comics
Kujitokeza kwanza The X-Men #54 (Mac 1969)
Waumbaji Arnold Drake
Don Heck
Neal Adams
Maelezo
Jina halisiAlexander "Alex" Summers
SpishiMutanti
UshirikianoStarjammers
X-Men
The Six
X-Factor
Brotherhood
Genoshan Magistrates
Lakabu mashuhuriMutant X, Magistrate Summers, Goblin Prince
UwezoUwezo wa kufyonza nishati ya ulimwengu
Mtupo wa mionzi ya nishati ya utegili
Kinga kwa mionzi ya macho ya Cyclops


Havok (Kiswahili: Uangamizi; Alexander "Alex" Summers ) ni supa-shujaa wa ulimwengu wa Marvel Comics, mwanachama wa X-Men na ndugu wa Cyclops. Havok ana uwezo wa ajabu wa kufyonza nishati ya ulimwengu ili kupiga mionzi ya utegili kutoka mikono yake.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Havok kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.