Mtumiaji:Harunimpande
Mandhari
(Elekezwa kutoka Harunimpande)
Lugha | ||
---|---|---|
|
Harunimpande Ni mwanachuo wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha, ninachukua masomo ya sayansi ya komputa. Maelezo ya shule Nimeanza elimu ya msingi katika shule ya msingi Umoja ndani ya jiji la Dar es salaam, nikachaguliwa kujiunga na shule ya sekondari ya Kibasila kwa masomo ya secondari baadae nikachaguliwa kujiunga shule ya sekondari ya wavulana Tabora kumalizia masomo ya sekondari ya zaidi kwa mkondo wa PCM. Sasa nipo Chuo cha usimamizi wa Fedha. Vitu ninavyopendelea Napenda sana kusoma magazeti,vitabu na mambo ya shule,kuruka sarakasi,kuongea na watu pamoja na kuangalia movies.Pia napenda challenge katika maisha ikijumuisha mambo ya shule na maisha.