Harry Hess
Mandhari
Harry Hess (alizaliwa 5 Julai, 1968) ni mtayarishaji wa rekodi, mwimbaji, na mpiga gitaa kutoka Kanada, anayejulikana zaidi kama kiongozi wa bendi ya hard rock ya Kanada Harem Scarem.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Harry Hess kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |