Khamis Suedi Kagasheki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Hamis Suedi Kagasheki)

Khamis Suedi Kagasheki (amezaliwa 30 Agosti, 1951) ni mbunge wa jimbo la Bukoba Mjini katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mengi kuhusu Khamis Suedi Kagasheki". 13 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-19. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011. 

Viungo vya nnje[hariri | hariri chanzo]