Nenda kwa yaliyomo

Hamid Ahadad

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hamid Ahadad (alizaliwa 2 Julai 1995) ni mchezaji wa soka wa Moroko anayecheza katika klabu ya Botola, Wydad AC, kama mshambuliaji.

Mabao ya kimataifa

[hariri | hariri chanzo]
Magoli na matokeo yanaorodheshwa kwanza kwa timu ya Morocco.[1]
No.TareheUwanjaMpinzaniMatokeoMatokeoMashindano
1.19 Oktoba 2019Stade Municipal, Berkane, Morocco Aljeria2–03–0Mchujo wa Mashindano ya Mataifa ya Afrika 2020

Mafanikio

[hariri | hariri chanzo]
Raja Casablanca
Zamalek SC
  • Raja CA Bao Bora la Mwezi: Machi 2022
  1. Hamid Ahadad at National-Football-Teams.com
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hamid Ahadad kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.