Haki za wanawake nchini Myanmar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wanawake wanaoishi Myanmar wanaendelea kukabiliwa na vikwazo vya usawa. Baada ya miaka arobaini ya kutengwa, hadithi kuhusu hali ya haki za wanawake nchini Myanmar (Burma) zilijikita katika dhana kwamba wanawake wa Burma wanakabiliwa na ubaguzi mdogo wa kijinsia na wana haki zaidi kuliko wanawake katika mataifa jirani ya Kusini-mashariki mwa Asia. Baada ya Myanmar kufungua mipaka yake mwaka 2010, ubaguzi wa kijinsia ulianza kuonekana na jumuiya ya kimataifa[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Women's rights in Myanmar", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-12-30, iliwekwa mnamo 2022-05-24