Nenda kwa yaliyomo

Hajer Sharief

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sharief mwaka 2017

Hajer Sharief (kwa Kiarabu: هاجر الشريف Hajer al-Sharief; alizaliwa 1994) ni mwanaharakati wa amani na haki za binadamu wa Libya. Anaongoza kazi katika shirika la pamoja yunaijenga (TWBI) nchini Libya.[1]

  1. "La Libyenne Hajer Sharief et la Somalienne Ilwad Elman en lice pour le Nobel de la paix". Franceinfo (kwa Kifaransa). 2019-10-10. Iliwekwa mnamo 2021-03-23.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hajer Sharief kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.