Henri La Fontaine
Mandhari
(Elekezwa kutoka H. La Fontaine)
Henri La Fontaine (22 Aprili, 1854 hadi 14 Mei, 1943) alikuwa mwanasheria kutoka nchi ya Ubelgiji. Hasa amejulikana kama mkurugenzi wa Ofisi ya Amani ya Kimataifa. Mwaka wa 1913 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Henri La Fontaine kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |