Gyumri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Moja ya sehemu ya mjini hapa.

Gyumri (Kiarmenia: Գյումրի, pia unajulikana kwa majina ya Kirumi kama Kumayri, Kümri, Gumry, Gumri, Gimri, Kyumayri, na Kyumri) ni mji mkuu na mkubwa wa Mkoa wa Shirak kaskazini-magharibi mwa nchi ya Armenia. Upo takriban kilomita 120  kutoka mji mkuu wa nchi Yerevan, na idadi ya wakazi wapatao 168,918 (2008; kutoka 150,917 ilivyoripotiwa kwenye sensa ya mwaka wa 2001, na kuufanya uwe mji mkubwa nchini Armenia.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Flag map of Armenia.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Armenia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gyumri kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.