Guido Gorogolio Sigonda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Guido Gorogolio Sigonda (amezaliwa tar. 18 Septemba 1942) ni mbunge wa jimbo la Songwe katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Guido Gorogolio Sigonda (17 Julai 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.