Greta Christina
Mandhari
Greta Christina (alizaliwa 1961) ni mwanamke mfuasi wa Ukanamungu, mwandishi wa blogu, mzungumzaji, na mwandishi kutoka Marekani.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Greta Christina's Blog: The Messed-Up Teachings of Jesus". Gretachristina.typepad.com. 2008-06-30. Iliwekwa mnamo 2013-01-04.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Greta Christina kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |