Grandmaster Flash and the Furious Five

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Grandmaster Flash and the Furious Five
Grandmaster Flash and The Furious Five.jpg
Maelezo ya awali
Asili yake New York, New York, Marekani
Aina ya muziki Hip-hop
Funk
Electro
Miaka ya kazi 1978–1982, 1987–1988
Studio Enjoy! Records
Sugar Hill Records
Ame/Wameshirikiana na The Sugarhill Gang
Wanachama wa sasa
"Grandmaster Flash" Saddler
Melvin "Melle Mel" Glover
Nathaniel "Kidd Creole" Glover
Robert Keith "Cowboy" Wiggins
Eddie "Mr. Ness/Scorpio" Morris
Guy "Rahiem" Williams

Grandmaster Flash and the Furious Five ni kundi la muziki wa hip hop lenye makazi yake huko mjini New York City nchini Marekani. Kundi linaunganishwa na wasanii kama vile Grandmaster Flash, Melle Mel, Kidd Creole, Robert Keith "Cowboy" Wiggins, Eddie "Mr. Ness/Scorpio" na Guy "Rahiem" Williams.

Kundi kuingiza Rock and Roll Hall of Fame mwaka 2007.

Diskografia[hariri | hariri chanzo]

Studio albamu
Kompilesheni

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]