Nenda kwa yaliyomo

Gordon Michael Alexander Buchanan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gordon Michael Alexander Buchanan
Picha ya Kiongozi wa Haki kwa Wanaume na Wavulana
Picha ya Kiongozi wa Haki kwa Wanaume na Wavulana
Kazi yake Mwanaharakati

Gordon Michael Alexander Buchanan [1][2] (alizaliwa 8 Desemba 1957) [3] alianzisha na tangu mda huo amekuwa akiongoza au mwenyekiti wa chama kidogo cha siasa, haki kwa wanaume na wavulana (na wanawake wanaowapenda) (J4MB) , huko Uingereza. Pia ni mtoa maoni katika vyombo vya habari kuhusisna na masuala ya haki za wanaume.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gordon Michael Alexander Buchanan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. Dalby, David (Acting Returning Officer) (9 Aprili 2015). Notice of election agents' names and offices, Ashfield District Council: Election of a Member of Parliament for Ashfield Constituency (PDF). Ashfield District Council. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 10 Novemba 2017. Iliwekwa mnamo 12 Novemba 2017.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Mr Gordon Michael Alexander Buchanan". companycheck.co.uk. Company Check. Iliwekwa mnamo 16 Desemba 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Buchanan, Mike, 1957-". Library of Congress. Iliwekwa mnamo 7 Januari 2019. Email from pub., Mar. 14, 2008:(b. 8 Dec. 1957; Gordon Michael Alexander Buchanan){{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)