Godfrey Weston Zambi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Godfrey Weston Zambi (amezaliwa tar. 12 Juni 1962) ni mbunge wa jimbo la Mbozi Mashariki katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Godfrey Weston Zambi (17 Julai 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.