God Hand

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

God Hand (mchezo wa kisiwa cha Goddo Hando) ni mchezo wa kompyuta unaosambazwa na PlayStation 2. Mchezo huu wa video ulikuzwa na Clover video na uliyochapishwa na Capcom na uliongozwa na Shinji Mikami, na ulianzishwa nchini Japan na baadae ukaenda Amerika ya Kaskazini mwaka 2006, na mwaka 2007 kwa maeneo ya Afrika.

Mnamo Oktoba 4, 2011, God hand iliendelezwa kwenye PS 3 kama mchezo wa PS 2 ulioendelea sana kuliko michezo yote kwenye mtandao wa PlayStation.

Football.svg Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu God Hand kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.