Globe park

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Uwanja wa Globe park
Globe park

Goble Park ni uwanja wa matumizi mbalimbali huko Bethlehem, , nchini Afrika Kusini. Hivi sasa hutumiwa zaidi kwa mechi za mpira wa miguu (soka) . Unatumika pia kama ukumbi wa nyumbani na timu ya Free State Stars F.C. na timu ya Super Eagles F.C. katika Ligi Kuu ya Soka na Daraja la Kwanza la Kitaifa mtawaliwa. Uwanja huu una uwezo wa kuchukua watu 5,000.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]