Gladys Marie Stein
Mandhari
Gladys Marie Stein (Oktoba 19, 1900 - Oktoba 9, 1989)[1] alikuwa mwandishi wa Marekani, mtunzi, [2] mwalimu wa muziki, na mpiga kinanda [3] ambaye alichapisha makala na vitabu kuhusu Rhythm band pamoja na nyimbo za muziki.[4]
Stein alizaliwa Meadville,Pennsylvania, kwa Albertha Hood na Henry Stein. Alikuwa na kaka mmoja.[1] alihitimu kutoka Chuo cha Muziki cha Pennsylvania mnamo 1922 [5] .Pia alisoma katika Thiel College, Taasisi ya Muziki ya Pittsburgh, na Chuo Kikuu cha Pittsburgh. Mnamo 1929, alianzisha Shule ya Muziki ya Stein
Kazi za Stein zilichapishwa na Ludwig & Ludwig (tazama Ludwig Drums). Walijumuisha:[4]
Bendi
[hariri | hariri chanzo]- Dancing Along
- Dancing Americans
- Happy Little Robin
- Hummer’s Waltz
- In Tulip Time
- Polish Dance
- Redbird
- Scouts on Parade
- Song of the Young Braves
- Springtime Frolic
- Waltz of the Toys
Vitabu
[hariri | hariri chanzo]- Tuned Time Bell
- Rhythm Band Instruction
- Tuned Resonator Bell and Rhythm Instructor
Piano
[hariri | hariri chanzo]- Melodies to Play
- Red Feather
- Soldiers on Parade
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ 1.0 1.1 Stein, Gladys Marie. "Ancestry® | Genealogy, Family Trees & Family History Records". www.ancestry.com. Iliwekwa mnamo 2021-12-06.
{{cite web}}
: CS1 maint: url-status (link) - ↑ Hixon, Donald L. (1993). Women in music : an encyclopedic biobibliography. Don A. Hennessee (tol. la 2nd). Metuchen, N.J.: Scarecrow Press. ISBN 0-8108-2769-7.
- ↑ Who's who in the East (kwa Kiingereza). Larkin, Roosevelt & Larkin. 1985.
- ↑ 4.0 4.1 Cohen, Aaron I. (1987). International Encyclopedia of Women Composers (kwa Kiingereza). Books & Music (USA). ISBN 978-0-9617485-0-0.
- ↑ Who's Who of American Women (kwa Kiingereza). Marquis Who's Who. 1983. ISBN 978-0-8379-0413-9.