Giselle Ansley

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Giselle Anne Ansley (amezaliwa 31 Machi 1992) ni mchezaji wa mpira wa magongo ambaye anacheza kama mlinzi wa timu ya Hoofdklasse ya Uholanzi na pia anachezea timu ya taifa ya Uingereza.[1][2]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "No. 61803". The London Gazette (Supplement). 31 December 2016. p. N15.
  2. "New Year's Honours List 2017" (PDF). www.gov.uk. HM Government of the United Kingdom. 31 December 2016. Retrieved 31 December 2016.