Nenda kwa yaliyomo

Gayaza

Majiranukta: 00°27′03″N 32°36′42″E / 0.45083°N 32.61167°E / 0.45083; 32.61167
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali ilipo Gayaza katika ramani ya Uganda kama ambavyo inaonekana katika majiranukta 00°27′03″N 32°36′42″E / 0.45083°N 32.61167°E / 0.45083; 32.61167

Gayaza ni mji katika Wilaya ya Wakiso katika mkoa wa Buganda huko Uganda.[1]

Gayaza uko katika Jimbo la Kyaddondo Kaskazini, Jimbo (Kaunti) la Kyaddondo. Mji huo ni takriban 2.5 kilomita, kaskazini - mashariki mwa Kasangati, kwenye barabara ya Kampala – Ziroobwe.[2]

  1. Rising Star Ministries (10 Julai 2018). "Life in Gayaza, Uganda". Kampala: Rising Star Ministries Uganda. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-07-23. Iliwekwa mnamo 10 Julai 2018. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Globefeed.com (10 Julai 2018). "Distance between Kasangati, Uganda and Gayaza, Uganda". Globefeed.com. Iliwekwa mnamo 10 Julai 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)