Gavar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Gavar

Gavar au Gavarr (Kiarmenia: Գավառ; pia unajulikana kama Kyavar; mpaka 1959, Nor Bayezid, Novyi Bayaset, Novo Bayazet, Nor Bayazet, na Nor-Bajaset, kisha Kamo mpaka 1996) ni mji uliopo nchini Armenia. Huu ni mji mkuu wa Mkoa wa Gegharkunik. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2008, mji una wakazi wapatao 22,444.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Armenia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gavar kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.