Nenda kwa yaliyomo

Gassan Ahadme

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Gassan Ahadme Yahyai (amezaliwa 17 Novemba 2000) ni mchezaji wa soka anayecheza katika klabu ya Charlton Athletic. Alizaliwa nchini Hispania, alichezea timu ya taifa ya vijana ya nchini Morocco.

    Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
    Je, unajua kitu kuhusu Gassan Ahadme kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
    Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
    Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.