Game Goabaone Bantsi
Game Goabaone Bantsi (alizaliwa 22 Julai 1986), anafaahmika vema kwa jina lake la jukwaani kama Zeus ni msanii wa Botswana, mshehereshaji na mfanyabiashara. Zeus aliachia albamu yake ya kwanza iitwayo Freshly Baked mwaka 2008 iliyokuwa na nyimbo zilizotamba kama Back in the day na Gijima.[1][2] Amekuwa akipokea mitazamo chanya kutoka nchini kwake na nchi ya jirani ya Afrika Kusini.[3] Mwaka 2010 alikuwa nafasi ya saba katika 15 bora wa wanamuziki wa kurapu wa Afrika ya Kusini[4] na wanne katika Mikusanyiko ya wanamuziki wa rapu wa Afrika ya MNET mwaka 2010.[5]
Maisha ya Awali
[hariri | hariri chanzo]Zeus alizaliwa Serowe na kulelewa GAborane, mji mkuu wa Botswana. Ana ndugu watatu; Kaka wawili na dada mmoja naye ni mzaliwa wa mwisho katika familia ya watu wanne. Katika mohojiano alisema yakuwa, mama yake anapenda nyimbo za injili, Baba ni shabiki wa muziki wa Marekani, kaka zake wanapenda miziki ya kufoka na dada yake anapenda R&B.[6]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Nigerian Music – Trio Of Double Trophy Wins At 2009 Channel O Music Video Awards! Archived 1 Februari 2016 at the Wayback Machine
- ↑ "Mmegi Online :: Zeus to launch The Flipside". 27 Aprili 2007. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 3 Machi 2016. Iliwekwa mnamo 28 Oktoba 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Mmegi Online :: Zeus celebrates birthday celebrity catwalk style". 16 Julai 2010. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 3 Machi 2016. Iliwekwa mnamo 28 Oktoba 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Top 15 South African Rappers". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 29 Machi 2012. Iliwekwa mnamo 29 Oktoba 2010.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "MNET Top Ten African Rappers for 2010 list". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 5 Septemba 2010. Iliwekwa mnamo 29 Oktoba 2010.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help); More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Mmegi Online :: Seuz vows to take South Africans head on". 13 Aprili 2007. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 19 Septemba 2016. Iliwekwa mnamo 28 Oktoba 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)