Nenda kwa yaliyomo

Gabriel Jarret

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Gabriel Jarret (alizaliwa Gabriel Kronsberg; Januari 1, 1970) ni muigizaji kutoka Marekani. Alianza kazi yake ya uigizaji mnamo mwaka wa 1981. Anajulikana zaidi kwa jukumu lake kama mwanafunzi mdogo mwenye akili ya kipekee, Mitch Taylor, katika filamu ya vichekesho ya mwaka 1985 iitwayo Real Genius, ambapo alishiriki pamoja na Val Kilmer.[1][2][3]

  1. "Science on Screen film series shows "Real Genius"". Oklahoman.com (kwa American English). 2012-03-28. Iliwekwa mnamo 2020-03-31.
  2. "Actor Gabriel Jarret from HLF Presents: Podstalgic". www.stitcher.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-03-31.
  3. "'Real Genius' Star Gabriel Jarret Gets Restraining Order Against Houseguest". TMZ (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-03-31.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gabriel Jarret kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.