Fuvu la kichwa la Ndutu
Mandhari
Fuvu la kichwa la Ndutu ni sehemu ya fuvu la zamadamu ambayo imekuwa ikilinganishwa na lile la Homo erectus, Homo rhodesiensis, na Homo sapiens [1][2] wa kwanza, kutoka Pleistocene ya kati, inayopatikana katika ziwa Ndutu, kaskanizi mwa Tanzania.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ http://dx.doi.org/10.1098/rstb.2015.0237%7Cjournal=Philosophical Transactions of the Royal Society B: Biological Sciences|volume=371|issue=1698|pages=20150237|doi=10.1098/rstb.2015.0237|issn=0962-8436}}
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-04. Iliwekwa mnamo 2023-05-14.