Freestyle Script
Mandhari
Freestyle Script ni fonti iliyoundwa na Martin Wait mwaka 1981, halafu toleo la Kooze liliundwa mwaka 1986.
Adobe, ITC na Letraset ni wahubiri ya Freestyle Script. Ina matoleo manne: Regular, Bold, SH Reg Alt, and SB Reg Alt.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |