Frankie Swah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rachel Frances Shaw (alizaliwa 1981) ni mwigizaji wa Marekani, mwandishi, mkurugenzi na mzalishaji. [1] [2] Aliigiza Bridgette Bird kwenye sinema mfululizo ya Showtime SMILF . [3]

Shaw vilevile aliigiza Mary Jo Cacciatore kwenye sinema mfululizo ya 2010-2011 ya Spike TV Blue Mountain State, na jukumu lake kama Shayla Nico kwenye msimu wa kwanza wa mfululizo wa televisheni ya USA Network Mr. Robot . [4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]