Francisco Pineda (mwanamazingira)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Francisco Pineda ni mwanamazingira wa El Salvador. Alitunukiwa Tuzo ya Mazingira ya Goldman mwaka 2011, kwa jitihada zake za kulinda rasilimali za maji nchini El Salvador dhidi ya uchafuzi wa miradi ya madini. [1] [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "2011 Goldman Environmental Prize Recipients". Goldman Environmental Prize. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 4 June 2012. Iliwekwa mnamo 30 May 2012.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. "2011 Recipient for South & Central America: Francisco Pineda". Goldman Environmental Prize. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 11 November 2011. Iliwekwa mnamo 30 May 2012.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Francisco Pineda (mwanamazingira) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.