Uwanja wa michezo wa Flavius Mareka
Mandhari
(Elekezwa kutoka Flavius Mareka Sports Ground)
Uwanja wa michezo wa Flavius Mareka ni uwanja unaotumika kuandaa shughuli mbalimbali hasa za kimichezo unapatikana huko Sasolburg, Free State, nchini Afrika Kusini. Hivi sasa unatumiwa zaidi katika mechi za mpira wa miguu (soka) na ni uwanja wa nyumbani wa timu ya Manco Milano F.C.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Flavius Mareka kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |