Nenda kwa yaliyomo

Fern Holland

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Fern Holland.

Fern Leona Holland (Agosti 5, 1970 – Machi 9, 2004) alikuwa wakili wa Marekani aliyeuawa katika mzozo wa Iraq ulioanza mwaka wa 2003. Holland alifariki Machi 9, 2004 alipokuwa akifanya kazi katika Mamlaka ya Coalition Provisional Authority (CPA) nchini Iraq.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "The New York Times - Search". topics.nytimes.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-08-03.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fern Holland kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.